Nilianza marudio na kugundua ya kwamba lilikuwa ni rundo la taka lililoandaliwa na Gurgle!
Hata hivyo, nilifanya tafsiri safi sana... Lakini mteja alisababisha kazi yangu ya kitaalamu kuhaririwa na mjinga fulani asiyejua kusoma na kuandika na ambaye hatimaye aliiharibu kabisa!
Na kisha wakaichapisha tafsiri hiyo mbovu mtandaoni huku wakiiambatishia jina langu! | Entry #29669 — Discuss 0 — Variant: Not specifiednone
Finalist Voting points | 1st | 2nd | 3rd |
---|
26 | 6 x4 | 0 | 2 x1 |
Rating type | Overall | Quality | Accuracy |
---|
Entry | 3.75 | 4.00 (14 ratings) | 3.50 (8 ratings) |
|
Nilianza marudio na kugundua kuwa lilikua rundo la uchafu uliotengenezwa na Gurgle!
Walakini,niliitoa tafsiri kamili lakini, mteja wangu alimpa tafsiri hiyo mhariri ovyo aliyeihariri na kuiharibu!
Baada ya hapo, waliichapisha tafsiri hiyo yenye kasoro mtandaoni kando na jina langu! | Entry #29740 — Discuss 0 — Variant: Not specifiednone
Finalist Voting points | 1st | 2nd | 3rd |
---|
6 | 1 x4 | 1 x2 | 0 |
Rating type | Overall | Quality | Accuracy |
---|
Entry | 2.64 | 2.71 (7 ratings) | 2.57 (7 ratings) |
|
Nilianza marekebisho nikagundua ilikuwa jaa la taka liliotungwa na Gurgle!
Hata hivyo, niliwasilisha tafsiri sahihi... lakini mteja alisababisha kazi yangu nadhifu kuhaririwa na bwege asiye na elimu ambaye aliiharibu!
Vilevile, mtandaoni walichapisha kando ya jina langu tafsiri yangu ambayo sasa ilikuwa na taksiri! | Entry #29857 — Discuss 0 — Variant: Kenyankenyswa
Finalist Voting points | 1st | 2nd | 3rd |
---|
5 | 1 x4 | 0 | 1 x1 |
Rating type | Overall | Quality | Accuracy |
---|
Entry | 2.72 | 2.86 (7 ratings) | 2.57 (7 ratings) |
|
Nilianza marudio na nikagundua kwamba ilikua ni rundo kubwa la kinyesi lililosababishwa na mgugumo!
Hata hivyo, niliwasilisha tafsiri kamilifu...lakini mteja wangu alipata kufanya kazi yangu murua ihaririwe na mjinga fulani aliyeiharibu!
Na wakachapisha mtandaoni tafsiri yangu sasa yenye kasoro kando ya jina langu! | Entry #28693 — Discuss 0 — Variant: Kenyankenyswa
Finalist Voting points | 1st | 2nd | 3rd |
---|
5 | 1 x4 | 0 | 1 x1 |
Rating type | Overall | Quality | Accuracy |
---|
Entry | 2.55 | 2.67 (6 ratings) | 2.43 (7 ratings) |
|
Nilianza kusahihisha na kugundua kuwa ilikuwa ni rundo la kinyesi kilichotolewa kwa Mgugumo!
Hata hivyo, niliwasilisha tafsiri bora... lakini mteja akampa mshenzi fulani kuirekebisha na akaiharibu!
Kisha wakachapisha mtandaoni tafsri hii yenye makoso chungu nzima pamoja na jina langu! | Entry #29888 — Discuss 0 — Variant: Not specifiednone
Finalist Voting points | 1st | 2nd | 3rd |
---|
2 | 0 | 1 x2 | 0 |
Rating type | Overall | Quality | Accuracy |
---|
Entry | 2.80 | 2.80 (5 ratings) | 2.80 (5 ratings) |
|
Nilianza kufanya mazoezi na nikagundua kwamba lilikuwa rundo kubwa la kinyesi lilitolewa kwa mbubujiko.
Hata hivyo, nilituma tafsiri nzuri lakini mteja alimpa mtu asiye na ujuzi aihariri kazi yangu ambaye aliiharibu.
Waliichapisha mtandaoni tafsiri iliyokuwa na makosa huku ikiwa na jina langu. | Entry #29984 — Discuss 0 — Variant: Kenyankenyswa
Finalist Voting points | 1st | 2nd | 3rd |
---|
2 | 0 | 1 x2 | 0 |
Rating type | Overall | Quality | Accuracy |
---|
Entry | 2.63 | 2.88 (8 ratings) | 2.38 (8 ratings) |
|
Nilianza marudio kisha nikagundua kuwa ilikuwa rundo kubwa ya chafya iliyozalishwa na Gurgle!
Hata hivyo, niliwasilisha tafsiri kamili… lakini mteja alipatiana kazi yangu ya chini kuhaririwa na asiyejua kusoma wala kuandika fulani ambaye aliiharibu!
Na walichapisha mkondoni tafsiri yangu ambayo sasa inakasoro kando ya jina yangu! | Entry #29704 — Discuss 0 — Variant: Not specifiednone
Finalist Voting points | 1st | 2nd | 3rd |
---|
2 | 0 | 1 x2 | 0 |
Rating type | Overall | Quality | Accuracy |
---|
Entry | 2.73 | 2.56 (9 ratings) | 2.89 (9 ratings) |
|
Nilianza kuisoma tena ndipo nikagundua kilikuwa kibunda cha taka kilicho tayarishwa na Gurgle.
Hata hivyo niliistafsiri ipasavyo … lakini mteja wangu aliichukua ile tafsiri akampelekea mhariri mjinga wa mwisho aliyeiharibu kabisha.
Kisha wakaichapisha ile waraka mbovu kwa mtandao na wakaweka jina langu. | Entry #29654 — Discuss 0 — Variant: Not specifiednone
Rating type | Overall | Quality | Accuracy |
---|
Entry | 2.50 | 2.67 (6 ratings) | 2.33 (6 ratings) |
|
Nilipoanza kukagua kazi iliyotafsiriwa na mtu mwingine, nilipigwa na butwaa nilipotambua kuwa ilikuwa na makosa chungu nzima.
Hata hivyo, nilijikakamua kurekebisha kila kosa na hatimaye nikawasilisha kazi safi. Kwa bahati mbaya, mteja alimpa limbukeni fulani nakala niliyosahihisha ili aihariri na badala yake, akakitia kitumbua changu mchanga!
Chozi lilinidondoka nilipobaini kuwa kazi hiyo iliyoborongwa ilichapishwa kwa jina langu! | Entry #28621 — Discuss 0 — Variant: Not specifiednone
Rating type | Overall | Quality | Accuracy |
---|
Entry | 2.44 | 2.63 (8 ratings) | 2.25 (8 ratings) |
|
Nilianza kuipitia upya na nikabaini kwamba ilikuwa ni zigo la kinyesi lililofyatuliwa na Gugo!
Hata hivyo, niliwasilisha tafsiri murua... lakini mteja yule aliachia kazi yangu maridhawa ihaririwe na kubwa-jinga moja hivi lililoharibu kabisa!
Na wameichapisha mtandaoni tafsiri yangu ilivyovurugwa sanjari na jina langu! | Entry #29728 — Discuss 0 — Variant: Tanzaniantanzswa
Rating type | Overall | Quality | Accuracy |
---|
Entry | 2.07 | 2.00 (7 ratings) | 2.14 (7 ratings) |
|